YAFAHAMU MAHITAJI NA MAMLAKA AMBAYO ZIDANE NA MADRID WAMEKUBALIANA AWE NAYO ILI ARUDI - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

YAFAHAMU MAHITAJI NA MAMLAKA AMBAYO ZIDANE NA MADRID WAMEKUBALIANA AWE NAYO ILI ARUDI


Habari ambayo imetrend sana siku ya jana jioni mpaka sasa ni kurejea kwa aliyekuwa kocha wa Real Madrid na aliyeiwezesha kushinda taji la ligi ya mabingwa ulaya mara tatu mfululizo, Zinedine Zidane na kufukuzwa kazi kwa kocha Santiago Solari. 
Sasa wakati hayo yakiendelea, gazeti kubwa la michezo la Hispania, liitwalo Marca,  limetaja baadhi ya mahitaji ya Zinedine Zidane ambayo Real Madrid imeyakubali ili aweze kurejea klabuni hapo. Mahitaji hayo ni kama ifuatavyo: 
Atapewa madaraka yote juu ya maamuzi ya kikosi Ataruhusiwa kumuuza mchezaji yeyote ambaye hatamtakaAtaruhusiwa kununua mchezaji yeyote atakayeona anafaa kwenye timuMshahara mkubwa na bajeti kubwa ya kununua wachezajiIkumbukwe kuwa moja ya sababu zilizofanya Zidane aondoke Madrid pamoja na kuwa na mafanikio makubwa ilikuwa ni kwa yeye kukosa nguvu na mamlaka kwenye kusajili wachezaji, kupanga kikosi na hata kuuza wachezaji ndani ya klabu. 
Kwa sasa Real Madrid imetolewa katika mashindano ya Ligi ya mabingwa Ulaya pamoja n... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More