Yafahamu Majiji 20 yanayoongoza kwa kuwa na Mabilionea wengi zaidi duniani - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yafahamu Majiji 20 yanayoongoza kwa kuwa na Mabilionea wengi zaidi duniani

Kwa mujibu wa sensa ya hivi karibuni ya kuhusu hali ya utajiri na matajiri duniani iliyofanywa na shirika la kimataifa la uchumi linalo fahamika kama Wealth X lenye makao makuu yake sehemu mbili ambazo ni New York Marekani pamoja na London nchini Uingereza, Limelitaja jiji la New York kutoka Marekani, kuwa kwasasa jiji hilo ndio linaloongoza kwa kuwa na Mabilionea wengi zaidi kuliko miji mingine yote duniani.Likifuatiwa na jiji la Hong Kong la nchini China,Kama unaishi Hong Kong, Hong Kong ilipata mabilonea zaidi ya 20 mwaka 2017, huenda umeshawahi kumsikia Li Ka-shing. Na pengine kumpatia pesa. Mfanyabiashara huyo wa miaka 90 ni mtu wa 23 tajiri zaidi duniani. Thamani ya mali zake kwa jumla inakadiriwa kuwa dola bilioni 37.7 Ka-shing amewekeza katika biashara tofauti kuanzia sekta uchukuzi hadi za kifedha, kawi na kampuni za kutoa huduma.Bilionea huyu ni mfano tu wa utajiri unaopatikana katika eneo hilo linalotaka kujitenga na China,  Hong Kong sasa ina jumla ya mabilionea 93, id... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More