Yafahamu Majiji matano masikini zaidi Duniani - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yafahamu Majiji matano masikini zaidi Duniani

Licha ya maendelea kuzidi kuongezeka katika baadhi ya nchi pamoja na miji mbalimbali katika maeneo husika lakini kumeendelea kuwa na changamoto kubwa sana katika baadhi ya miji hapa duniani kuweza kupata maendelea kwa haraka kutokana na ukuaji wa Sayansi na Teknolojia.Maendelea katika sehemu yeyote huchangiwa na vitu mbalimbali mfano miundombinu, pamoja na watu husika. Miundo mbinu hiyo mfano Barabara,maji,umeme,shule,hospitali na huduma zote za kijamii.Kwa upande mwingine Serikali zinamchango mkubwa sana katika kuhakikisha inatengeneza miundo mbinu bora ili kuweza kusababisha chachu ya maendeleo katika nchi husika hata katika miji husika ikisaidiana na wadau au makampuni binafsi.


Lakini biashara ndio imepelekea kuwa chachu kubwa sana ya maendelea katika maeneo mbali mbali ingawa sekta zote zinahusika katika kuleta maendeleo ila biashara ndio kinara wa sekta inayosababisha maendelea kutokana na kodi zinazotozwa kutoka kwa wafanya biashara na hata makampuni mbalimbali yanayofanya bi... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More