YAKUBU AANZA KUJIFUA AZAM FC, NGOMA NJE WIKI TISA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

YAKUBU AANZA KUJIFUA AZAM FC, NGOMA NJE WIKI TISA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
DAKTARI Mkuu wa Azam FC, Mwanandi Mwankemwa amesema kwamba beki majeruhi wa muda mrefu, Mghana Yakubu Mohammed aliyevunjika mguu na kukosa sehemu kubwa ya mechi za mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ameruhusiwa kuanza mazoezi tangu Juni1, mwaka huu.
Mwankemwa ameyasema hayo Jumamosi katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuzungumzia maendeleo ya wachezaji mbalimbali wa Azam FC majeruhi.
Alisema Amoah, aliyefanyiwa upasuaji wa goti nchini Afrika Kusini atarejea dimbani baaada ya miezi tisa kupita tokea siku aliyoumia Februari mwaka huu, akimaanisha kuwa atarejea Oktoba mwaka huu.

Beki Mghana wa Azam FC, Yakubu Mohammed ameanza mazoezi Azam FC tangu Juni 1, mwaka huu

“Mchezaji mwingine ni kijana wetu Stanslaus Ladislaus tuliyempelekea kwa mkopo African Lyon, tulimfanyia uchunguzi katika Hospitali ya Hi Tech naye amekutwa na tatizo la kuchanika mtulinga wa kati kwenye goti lake la mguu wa kulia na tunafanya taratibu hivi sasa za kumpeleka A... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More