YALIKUWA MAKOSA MAKUBWA KUWATOA WACHEZAJI KAMBINI TAIFA STARS KWENDA KUZICHEZEA KLABU ZAO - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

YALIKUWA MAKOSA MAKUBWA KUWATOA WACHEZAJI KAMBINI TAIFA STARS KWENDA KUZICHEZEA KLABU ZAO

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
NGUVU za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa sasa zimeelekezwa kwenye kuhakikisha timu ya taifa, Taifa Stars inafuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Cameroon.
Taifa Stars watakuwa wageni wa Cape Verde katika mchezo wa Kundi L kufuzu AFCON Oktoba 12 mjini Praia kabla ya kurejea Dar es Salaam kwa mchezo wa marudiano na wapinzani wao hao Oktoba 16.
Wachezaji wote wanaocheza nyumbani wapo kambini katika hoteli ya Sea Scape iliyopo Kunduchi mjini Dar es Salaam pamoja na mmoja anayecheza nje, Thomas Ulimwengu wa El Hilal ya Sudan wakiwa wanaendelea na mazoezi chini ya Kocha Mkuu Emmanuel Amunike, anayesaidiwa na Mnigeria mwenzake, Emeka Amadi, na wazalendo Hemed Suleiman ‘Morocco’, Meneja Danny Msangi, Mtunza Vifaa ni Ally Ruvu na Madaktari Richard Yomba na Gilbert Kigadya.
Ambao hawajaripoti ni mabeki Hassan Kessy wa Nkana FC ya Zambia na Abdi Banda Baroka FC ya Afrika Kusini, viungo Himid Mao wa Petrojet ya Misri, Simon Msuva... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More