YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha sita cha mkutano wa kumi na mbili cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde, akijibu maswali Bungeni, jijini Dodoma, Septemba 11, 2018. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi  akieleza mipango mbalimbali ya jeshi la kujenga Taifa katika kuanzisha mafunzo ya stadi za kazi kwa Vijana waliojiunga na jeshi ilo kwa kujitolea ili waweze kuajiriwa na taasisi zingine za Serikali,Sekta binafsi au kujiajiri wenyewe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akizungumza Bungeni jijini Dodoma, Septemba 11, 2018.  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt Philip Mpango akisoma Muswada wa Sheria ya marekebisho ya sheria ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi wa mwaka 2018 leo Bungeni Jijini Dodoma. Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawa... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More