Yandex.com – inaweza ikawa mbadala mzuri wa kutumia Google.com - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yandex.com – inaweza ikawa mbadala mzuri wa kutumia Google.com

Je ushawahi kuisikia tovuti ya Yandex.com? Hii ni tovuti ya utafutaji mtandaoni kama vile Google, teknolojia yake ya utafutaji  inafanya kazi tofauti ukilinganisha na Google. Tovuti ya Yandex ina teknolojia ya kusimamia matokeo ya unachotafuta kwa misingi tofauti ukilinganisha na ya Google. Makao makuu ya tovuti hii ni Urusi na kwa nchini humo inashika namba [...]


The post Yandex.com – inaweza ikawa mbadala mzuri wa kutumia Google.com appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More