Yandex.com – tovuti mbadala ya utafutaji kwa Google.com - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yandex.com – tovuti mbadala ya utafutaji kwa Google.com

Je ushawahi kuisikia tovuti ya Yandex.com? Hii ni tovuti ya utafutaji mtandaoni kama vile Google, teknolojia yake ya utafutaji  inafanya kazi tofauti ukilinganisha na Google. Tovuti ya Yandex ina teknolojia ya kusimamia matokeo ya unachotafuta kwa misingi tofauti ukilinganisha na ya Google. Makao makuu ya tovuti hii ni Urusi na kwa nchini humo inashika namba [...]


The post Yandex.com – tovuti mbadala ya utafutaji kwa Google.com appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More