Yanga akili zote kwa Township - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yanga akili zote kwa Township

KIKOSI cha timu ya Yanga kinatarajia kuwasili mchana wa leo Ijumaa kikitokea Visiwani Zanzibar ilikoenda kuweka kambi ya muda mfupi na kucheza mechi mbili za kirafiki, huku akili yao yote ikiwa ni kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers ya Botswana utakaochezwa kesho Jumamosi.


Source: MwanaspotiRead More