Yanga kujifua Zanzibar, Simba yahairisha mazoezi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yanga kujifua Zanzibar, Simba yahairisha mazoezi

WAKATI michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa imesimama kupitisha michezo ya kimataifa ambayo ipo kwenye kalenda ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), klabu ya Yanga imeamua kwenda kisiwani Zanzibar kwa ajili ya kuweka kambi ya muda mfupi sambamba na kucheza michezo ya kirafiki. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Kikosi hicho cha Yanga ...


Source: MwanahalisiRead More