Yanga kunoa makali kwa Namungo FC - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yanga kunoa makali kwa Namungo FC

Wakati timu zikiwa kwenye mapumziko kupisha mechi ya Taifa Stars na Lesotho, kikosi cha Yanga kinatarajia kwenda Ruangwa mkoani Lindi kucheza mechi ya kirafiki na Namungo FC ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kabla ya kuivaa Mwadui FC.


Source: MwanaspotiRead More