Yanga kunoa makali ya USM Alger kwa Mkamba Rangers - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yanga kunoa makali ya USM Alger kwa Mkamba Rangers

Timu ya daraja la pili ya Mkamba Rangers ya Kilomero, leo inacheza mechi  ya kirafiki na Yanga, mchezo ambao umepangwa kufanyika kwenye uwanja wa CCM, Mkamba Kilosa mkoani Morogoro.


Source: MwanaspotiRead More