Yanga na Simba mbio za ubingwa, Biashara United wagoma kushuka daraja - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yanga na Simba mbio za ubingwa, Biashara United wagoma kushuka daraja

BIASHARA United juzi iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ndanda, lakini benchi la ufundi la timu hiyo limeibuka na kutamka mbele ya mashabiki wao kwamba ishu ya kushuka daraja kwao haipo, hivyo wawe na imani na timu yao kuiona msimu ujao wa Ligi Kuu.


Source: MwanaspotiRead More