Yanga Princess yaapa kuivuruga Simba Queen - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yanga Princess yaapa kuivuruga Simba Queen

ACHANA na matokeo ya jana Jumatano  ya kulala kwa kichapo cha mabao 2-1 kwa Alliance Girls, timu ya Yanga Princess imesema kwa sasa inahitaji kulipa kisasi na kuweka heshima katika mchezo wao ujao dhidi ya Simba Queens.


Source: MwanaspotiRead More