YANGA SC KATIKA MAZOEZI LEO MJINI MOROGORO - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

YANGA SC KATIKA MAZOEZI LEO MJINI MOROGORO

Viungo Mrisho Khalfan Ngassa (kulia) na Emmanuel Martin (kushoto) wakiwa mazoezini na klabu yake, Yanga SC Uwanja wa Highland Park mjini Morogoro kuelekea mchezo wa Jumapili dhidi ya Mawenzi Market Uwanja wa Jamhuri maalum kumuga aliyekuwa Nahodha wao, Nadir Haroub 'Cannavaro'
 Kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko (kushoto) naye amefanya mazoezi
Kiungo Mkongo, Papy Kabamba Tshishimbi akimtazama mwenzake anavyofanya mazoezi kwa bidii 
Kocha kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mwinyi Zahera akiongoza mazoezi leo Morogoro 
Wachezaji wa Yanga SC wakijifua kwa bidii leo mjini Morogoro

... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More