YANGA SC WAPELEKA BARUA TFF KUJITOA RASMI MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME 2018 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

YANGA SC WAPELEKA BARUA TFF KUJITOA RASMI MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME 2018

Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM
YANGA SC imeandika barua ya kujitoa kwenye michuano kwenye michuamo ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame ikiwa ni siku tatu tu tangu kutajwa kwa ratiba, ikiwa imepangwa Kundi A na mahasimu wao, Simba SC. 
Akizungumza na Bin Zubeiry Sports – Online leo mjini Dar es Salaam, Afisa Habari wa Yanga, Dissmas Ten amesema kwamba wamepeleka barua Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kujitoa kutokana na kubanwa na ratiba ya mashindano.
“Ni kweli hatutashiriki mashindano ya Kagame Cup kutokana na ratiba kuwa ngumu kwa upande wetu, kumekuwa na msongamano wa mashindano baada ya kumalizika kwa ligi tumeenda Kenya kwenye michuano ya SportSpesa Super Cup, tumerudi majuzi tu hapa,”

Yanga SC imeandika barua ya kujitoa kwenye michuano ya Kombe la Kagame mwaka huu

“Pia tuna mechi nyingine ya Kombe la Shirikisho Afrika tutakayocheza nchini Kenya Juni 16 mwaka huu dhidi ya Gor Mahia, hivyo ukiangalia msongamano huo hata wachezaji wetu watakos... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More