YANGA SC WAUFYATA, WAKUBALI KUFANYA UCHAGUZI JANUARI 13 FOMU YA UENYEKITI NA UMAKAMU SH. 200,000, UJUMBE 100,000 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

YANGA SC WAUFYATA, WAKUBALI KUFANYA UCHAGUZI JANUARI 13 FOMU YA UENYEKITI NA UMAKAMU SH. 200,000, UJUMBE 100,000

Na Nasra Omary, DAR ES SALAAM
KLABU ya Yanga imekubali kufanya uchaguzi, kwa ajili ya kujaza nafasi zilizo wazi, Januari 13, mwakani huu.
Wiki mbili zilizopita Baraza la Michezo la Taifa (BMT), iliwataka Yanga kuitisha uchaguzi wake kwa ajili ya kujaza nafasi za viongozi waliojiuzuru huku ikiwemo ya mwenyekiti wao wa zamani Yussuf Manji.
Yanga kwa sasa imebaki na wajumbe wanne kati ya wajumbe  13 waliochaguliwa katika uchaguzi wa juni 12, mwaka 2016 Dar es Salaam.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam, Kaimu Mwenyekiti wa Yanga, Thobias Lingalangala amesema kwamba wanatarajia kufanya uchaguzi  mapema mwakani na fomu za kugombea tayari zimeshaanza kutolewa.
Lingalangala amesema uchaguzi utafanyika kama ulivyotangazwa na kamati ya uchaguzi ya  Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na fomu zimeanza kutolewa rasmi leo ofisi za TFF na klabuni.
Alisema kuwa kuna baadhi ya wanachama  walikuwa wanazuia uchaguzi huo ameomba wapuuzwe na wanachama wote w anaruhusiwa kuja kuchukua f... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More