Yanga wafunga mtaa Arachuga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yanga wafunga mtaa Arachuga

UJIO wa Yanga jijini Arusha imekuwa kama neema kwa wadau wa soka na wamiliki wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, ambao wameamua kuufunga kwa muda uwanja huo ili kuboresha mambo kabla ya kuipisha timu hiyo kumalizana na AFC Leopards ya Kenya jijini hapa.


Source: MwanaspotiRead More