Yanga wote kupiga pensi kumuunga mkono Zahera - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yanga wote kupiga pensi kumuunga mkono Zahera

YANGA imepanga kuvaa pensi katika mchezo dhidi ya Zesco ili kumuunga mkono kocha wao Mwinyi Zahera aliyepigwa faini na Kamati ya Usimamizi ya Ligi Kuu kwa kosa la kuvaa mavazi yasiyo nadhifu.


Source: MwanaspotiRead More