Yanga yachomoa, Mayanga wa Ndanda usipime - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yanga yachomoa, Mayanga wa Ndanda usipime

Matokeo hayo yanaifanya Yanga kufikisha pointi 26, sawa na Simba inayoshika nafasi ya pili kwa tofauti ya mabao wakati Azam imejikita kileleni ikiwa na pointi 30 baada ya kuichapa Kagera Sugar bao 1-0.


Source: MwanaspotiRead More