Yanga yaitibulia Jamhuri - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yanga yaitibulia Jamhuri

UKISIKIA roho mbaya ndio hii. Yanga licha ya kuwa imeshaanga michuano ya Kombe la Mapinduzi 2019, lakini jioni ya jana iliamua kuwafanyia roho mbaya tu Jamhuri baada ya kuwafumua mabao 3-1 na kuwatibulia wapinzani wao hao kutinga nusu fainali.


Source: MwanaspotiRead More