YANGA YAJIBU JUU YA KUISHANGILIA SIMBA-VIDEO - Jamii na Michezo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

YANGA YAJIBU JUU YA KUISHANGILIA SIMBA-VIDEO

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.08.2018 SAA 11:33 JIONI
Siku moja mara baanda Ofisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara kuwaomba mashabiki wa Simba kuwa na moyo wa uzalendo kwa kuacha kuzomea,pale klabu hizo mbili Simba na Yanga zinapokutana na timu za nje ya nchi katika mashindano ya kimataifa .

 Hii leo mjumbe wa kamati ya Utendaji wa Yanga Salum Mkemi amejibu swala hilo.
SIKILIZA HAPO CHINI
...

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates... Continue reading ->Source: Jamii na MichezoRead More