Yanga yamnasa feisal kimafia - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yanga yamnasa feisal kimafia

ILIKUWA kama filamu flani hivi la kibabe. Ndio, mabosi wa Yanga wamepindua meza hii unaweza kuiita kitemi baada ya kuchukua viungo wawili, huku mmoja akimchomoa mmoja mikononi mwa matajiri wa Simba waliomteka juzi usiku ili wamsainishe fasta.


Source: MwanaspotiRead More