Yanga yamtibulia dili Wanyama - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yanga yamtibulia dili Wanyama

Nahodha wa Kenya na kiungo fundi wa Tottenham Hotspurs amepanga kurejea tena nchini wiki mbili zijazo kushuhudia mashindano ya Kombe la Kagame, lakini huenda atashindwa kushuhudia mechi ya watani wa soka Tanzania, Simba na Yanga baada ya Vijana wa Jangwani kuchomoa kushiriki.


Source: MwanaspotiRead More