Yanga yataka pointi za chee - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yanga yataka pointi za chee

SINGIDA United iliamsha sekeseke kwa kinda mmoja wa Yanga, Gustavo Simon, kijana mmoja fundi anayejua kutumia mguu wa kushoto wakidai sio halali kuichezea timu hiyo, lakini sasa Jangwani wakaamua kujibu mapigo wakizitaka pointi mbili za wapinzani wao.


Source: MwanaspotiRead More