YES! Arsenal bado kidogo tu kwa Sokratis - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

YES! Arsenal bado kidogo tu kwa Sokratis

Arsenal imeripotiwa kuwa kwenye hatua za mwisho kabisa kukamilisha dili la kumnasa beki wa kati wa Borussia Dortmund, Sokratis Papastathopoulos huku dili hili likiwagharimu Pauni 16 milioni.


Source: MwanaspotiRead More