YONDAN KUREJEA MAZOEZINI YANGA SC JUMATAU BAADA YA KUFIKIA MAKUBALIANO YA MKATABA MPYA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

YONDAN KUREJEA MAZOEZINI YANGA SC JUMATAU BAADA YA KUFIKIA MAKUBALIANO YA MKATABA MPYA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
NAHODHA wa Yanga, Kelvin Patrick Yondan anatarajiwa kuanza mazoezi Jumatatu baada ya mgomo wa takriabn mwezi mmoja akishinikiza kupatiwa mkataba mpya. 
Yondan amemaliza mkataba wake Yanga SC Juni mwaka huu, lakini kwa kipindi chote ameshindwa kufikia makubaliano ya mkataba mpya na klabu.
Juzi mchezaji huyo wa zamani wa Simba SC na Toto Africans ya Mwanza, alikuwa ana mazungumzo na wadau maalum wa klabu hiyo waliojitolea kuhakikisha suala lake linamalizwa na anasaini mkataba mpya.
Kelvin Yondan (katikati) akiwa na Mwenyekiti 
wa zamani wa klabu hiyo, Tarimba Abbas (kushoto)   


Mazungumzo hayo yaliyoongozwa na Mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Tarimba Abbas yamefikia pazuri na Yondan amekubali kurudi mazoezini huku taratibu nyingine za mkataba mpya zikikamilishwa. 
Wadau hao baada ya kumaliza suala la Yondan, sasa wanamgeukia beki mwingine, Hassan Ramadhani Kessy ambaye naye yupo kwenye mgomo wa kudai mkataba mpya pia ili naye wambakize Jangwani.
Yondani n... Continue reading ->Source: Bin ZuberyRead More