Yondani aivua ubingwa Simba mapema - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yondani aivua ubingwa Simba mapema

BEKI Kelvin Yondani amefungua kinywa chake na watani wa Yanga, Simba lazima wasikilize kwa makini kwa sababu jamaa amewatoa hofu mashabiki wa Jangwani akiwaambia wasiwe na wasiwasi ubingwa msimu ujao lazima urejee Jangwani.


Source: MwanaspotiRead More