Yondani, Fei Toto hawapoi Jangwani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Yondani, Fei Toto hawapoi Jangwani

NYOTA wa Yanga, Kelvin Yondani, Feisal Salum ‘Fei Toto’ hakuna kulala wala kupoa kwani baada ya majukumu yao ya timu ya taifa, wanatarajiwa kuungana na nyota wengine leo Jumanne ili kuifuata Mwadui FC ya Shinyanga kwa mchezo wao wa kiporo cha Ligi Kuu Bara kitakachopigwa Alhamisi hii.


Source: MwanaspotiRead More