Young Dee afunguka kuhusu muziki wake na ujio wa Sport&Music Festival (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Young Dee afunguka kuhusu muziki wake na ujio wa Sport&Music Festival (Video)

Msanii wa muziki wa hip hop, Young Dee ambaye ni mmoja kati ya wasanii ambao watafanya show katika tamasha la Sport&Music Festival katika mikoa wa Mwanza na Geita , amedai kwa exprience aliyokuwa nayo katika show moja ya pikipiki ni zaidi ya show ya msanii wa Marekani, Ludacris. Rapa huyo mwaka 2017 alifanya tour yake ya BBM Tour iliyofanyika kwa mara kwanza Kahama mkoani Shinyanga ambapo show hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na watu wa rika zote.


Loading...Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

The post Young Dee afunguka kuhusu muziki wake na ujio wa Sport&Music Festival (Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More