Young Dee Aibukia Kwenye Gospel. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Young Dee Aibukia Kwenye Gospel.

Mwanamuziki David Genzi maarufu kama Young Dee amefunguka na kuelezea ujio wake mpya wa nyibo yenye maadhi ya injili, wimbo ambao ameimba kwa ajili ya kumshukuru mungu kwa mambo aliyomtendea mpaka hapo alipofikia.


Young Dee anasema kuwa wimbo huo ambao atamuweka msanii mwenzake Ben pol utakuwa moja ya nyimbo za kusisimua kwa sababu uatkuwa na hadithi ya maisha yake halisi na mafanikio na mapito yake kwa ujumla.


Katika ukurasa wake wa instagram, Young dee aliandika stori ya mtu aliyeumwa kwa masaa manenane tu  lakini kutumia gharama ya zaidi ya milion 14 kwa ajili ya matibabu, hata hivyo anasema kuwa pamoja na yote mtu huyo alijua kuwa kama sio mungu basi wala pesa zake zisingekuwa kitu , hivyo kwa historia hiyo fupi aliyoiweka young dee katka ukurasa wake, mwishoni alimalizia kwa kusema


hapa mimi nawaza kuandika wimbo wa kumsifu mungu muweza wa yote,,aisee #amgrateful  ,,,oii @benpol niandalie chorus baller


Wasanii wengi sasa wameanza kutumia style hii ya kuingia katika muziki wa ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More