Young Dee na Amber lulu Warushiana Maneno Mitandaoni. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Young Dee na Amber lulu Warushiana Maneno Mitandaoni.

Wasani  wawili waliowahi kuwa  wapenzi hapo zamani lakini baada ya kuachana wamekuwa kama paka na panya  9 (Young dee na Amber Lulu) wanaendelea kutupiana maneno katika mitandao ya kijamii huku chuki hiyo ikionekana kuwa ni dhahiri katika mitandao ya kijamii kutokana na vijembe wanavyopeana katika mitandao ya kijamii.


akiandika katika ukurasa wake wa instagram, amber lulu ambae alikuwa ni kama anatambulisha wimbo mpya katika ukurasa wake wa instagram aliandika “ukausokota moyo, ukanivuruga we kivuruge, ukaukokota kolo kwa shuruba paii ukalichambuwa kama karanga ukalivalia  kibwebwe vanga , ukalitupia shimoni chanda , sikuwa na raha kutwa nalala hata nikitabasamu machozi.”


Nae Young Dee hakuacha kujibu  kwa kuandika ‘ “wakina dada mnaofanya mziki , ningewashauri tu kutumia mziki wenu zaidi ya hizi kiki za kufosi.kama wimbo wako unaona haufanyi vizuri basi rudi tena studio toa mwingine sio kunitumia mimi kama upumbavu wako.niko na mpenzi wangu  namheshimu sana na huu utoto ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More