Young Killer atoa siri, Hakupata Alichokitengemea Ndani ya Wanene. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Young Killer atoa siri, Hakupata Alichokitengemea Ndani ya Wanene.

Msanii Young Killer wa Msodoki amefungka sababu kubwa ya kuondoka katika kampuni ya wanene entertainment mara vbaada ya kumaliza mkataba wake wa miezi sita bila hata kufikiria kuongeza muda katika kamouni hiyo iliyokuwa ikisimamia muziki wake.


Young killer anasema kuwa sababu kubwa ni kwamba hakukipata kile alichokuwa akitegemea kukipta pindi anaingia katika kamouni hiyo hivyo aliona kuwa ni bora kuondoka kwa sababu hakukuwa na adadhali huku akisema kuwa ni bora kule alikokuwa ametoka awali.


Young killer anasema kuwa alikuwa anategmea sana kupanua muziki wake nje ya Tanzania endapo ataingia katika kampuni hiyo lakini hakuona hivyo zaidi ya  kuendelea kukaa ndani ya nchi tu.


unajua hakuna kitu kizuri kama kuona mtu unafanikiwa katika muziki wake, kitu kikubwa nilitegemea hata kuona muziki wangu ukipigwa Trace  ili kuleta utofauti wa Young killer aliekuwa akifanya kazi mwenyewe na huyo wa kwenye menejimenti,  kuba kama wanene, hiyo ni sababu moja lakini vipo vitu vingi.


Young killer a... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More