Z Anto kuachia ‘Mpaka Naogopa’ akiwa na siri mzito ya mapenzi - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Z Anto kuachia ‘Mpaka Naogopa’ akiwa na siri mzito ya mapenzi

Baada ya ukimya wa muda mrefu wa msanii aliyewahi kufanya vizuri na wimbo kama ‘Mpenzi Jini’ na nyingine nyingi, Z Anto Jumamosi hii anaachia wimbo mpya ‘Mpaka Naogopa’ ambao ndani yake una mambo mazito aliyewahi kupitia kwenye mahusiano.


Muimbaji huyo aliwahi kufunga ndoa na video queen wa wimbo Binti Kiziwi ambaye kwa sasa anatumikia kifungo China baada ya kukutwa na dawa za kulevya nchini humo.


Z ameimbia Bongo5 kwamba baada kuona mpenzi wake huyo haeleweki, aliachana naye na kuamua kufunga ndoa na mwanamke mwingine.


“Kwa sasa nimeona lakini hivi karibuni aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani ambaye amefungwa China amekuwa akiniuliza hili suala na kuoneshwa kuulizwa nalo,” alisema Z.


Aliongeza, “So baada ya kuona hiyo hali na yeye anakaribia kutoka nikaona nieleze namna gani napendwa na mke wangu wa sasa, lakini hili linawatokea watu wengi na wanashindwa kueleza ukweli kwamba kwa sasa nina mwanamke mwingine na kujikuta unasababisha matatizo au ukaaribu maisha yako na famili... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More