Zahera akata mzizi Yanga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zahera akata mzizi Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameamua kukata mzizi wa fitina Jangwani, huku wanachama wa Yanga wakijiandaa kufanya Mkutano Mkuu wao, ili kujua kama bilionea Yusuf Manji anarejea kuwatoa kwenye dhiki ama la.


Source: MwanaspotiRead More