Zahera alipangua jeshi lake Stand - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zahera alipangua jeshi lake Stand

BENCHI la Ufundi la Yanga linafahamu kiu ya mashabiki wake katika mechi za Ligi Kuu Bara na leo Jumapili kikosi chao kitashuka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, huku Kocha Mwinyi Zahera akipangua kidogo jeshi lake dhidi ya Stand United.


Source: MwanaspotiRead More