Zahera amchana Kakolanya kweupe unaambiwa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zahera amchana Kakolanya kweupe unaambiwa

Kabla ya mchezo wao wa leo Jumatatu na Tanzania Prisons uliopigwa jijini Mbeya, Yanga ilikuwa inaongoza Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 35, katika msimamo wenye timu 20. Azam FC ni ya pili ina pointi 33, Simba ya tatu ina 27 na ya nne ni Mtibwa Sugar yenye 23.


Source: MwanaspotiRead More