Zahera ampa mzuka kipa Pamba, aipania Ligi Daraja la Kwanza - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zahera ampa mzuka kipa Pamba, aipania Ligi Daraja la Kwanza

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amesifu kiwango kizuri cha kipa wa Pamba FC, Idrissa Ramadhani ‘Kameni’ lakini kipa huyo amesema sifa hizo zimempa nguvu ya kupambana kuhakikisha anafanya vyema Ligi Daraja la Kwanza.


Source: MwanaspotiRead More