Zahera amshtukia beki wa Kichuya - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zahera amshtukia beki wa Kichuya

YANGA usiku wa jana walikuwa Uwanja wa Taifa kumalizana na Mbao FC, huku Kocha Mkuu wake, Mwinyi Zahera akiwa kwao DR Congo kwenye majukumu ya kimataifa katika timu yao ya taifa, hata hivyo kabla ya kutimka alishtukia jambo na kulitolea tamko.


Source: MwanaspotiRead More