Zahera awaka, awashukia Ngassa na Kaseke - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zahera awaka, awashukia Ngassa na Kaseke

BAADA ya matokeo sare ya 1-1 waliyoyapata Yanga dhidi ya Ndanda FC juzi Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Kocha mkuu wa timu hiyo, Mwinyi Zahera amefunguka kama kuna eneo linamkwamishia mipango yake, basi ni viungo wa pembeni.


Source: MwanaspotiRead More