Zahera pengo la Ajib litazibika tu Yanga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zahera pengo la Ajib litazibika tu Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amekiri kuondoka kwa Ibrahim Ajib ni pengo lakini haina maana kwamba hawawezi kupana nyota mwingine bora wa kuziba pengo hilo.


Source: MwanaspotiRead More