Zahera: Sijaona wa kuitibulia Yanga kabisa! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zahera: Sijaona wa kuitibulia Yanga kabisa!

Alisema Yondani ameanza mazoezi jana na amejiunga na wenzake kambini tayari kwa ajili ya mchezo huo, Papy Tshishimbi ambaye alikuwa nje kwa muda tayari ameanza mazoezi na ni miongoni mwa nyota watakaocheza Jumapili.


Source: MwanaspotiRead More