ZAIDI YA BILIONI 23 ZAFAIDISHA KAYA MASIKINI GEITA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ZAIDI YA BILIONI 23 ZAFAIDISHA KAYA MASIKINI GEITA

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Mhandisi Robert Gabriel, ameendesha kikao cha Tatu cha Tathimini ya Utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini TASAF Awamu ya Tatu ambacho hufanyika mara moja kila mwaka tangu kuanza kwa mpango huo.
Akiongea na wajumbe wa kikao hicho, Mhe. Mhandisi Gabriel alianza kwa kuwapongeza waandishi wa habari kwa kuendelea kutoa taarifa sahihi, lakini pia kuwashukuru waratibu wa mpango huo kuanzia ngazi ya Sekretarieti ya Mkoa hadi ngazi za Halmashauri na kusema kuwa, ni imani yake kikao hicho kitaweka mikakati thabiti ili kupata matokeo chanya. Ni baada ya kusomewa taarifa ya utekelezaji wa mpango huo, ndani ya ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Geita tarehe 12.07.2018.
Mkuu wa Mkoa aliendelea kwa kusema “nimeona mabadiliko makubwa ,nimefurahishwa na mashamba ya pamba ambayo yanamilikiwa na walengwa wa mpango. Nawashukuru sana viongozi kwa usimamizi mzuri, hivyo ni vyema viongozi kuendelea kuzitembelea kaya hizi na kila mmoja kwa nafasi yake, kwenye e... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More