ZAIDI YA KAYA 200 KATA YA MNYANJANI JIJINI TANGA KUNUFAIKA NA MRADI WA UJENZI WA MTARO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ZAIDI YA KAYA 200 KATA YA MNYANJANI JIJINI TANGA KUNUFAIKA NA MRADI WA UJENZI WA MTARO

MBUNGE wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akisisitiza jambo mara baada ya kutembelea mradi wa Ujenzi wa Mradi wa Mfereji utakaopitisha maji kutoka kwenye makazi ya watu nyakati za mvua na kupelekea baharini MBUNGE wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akishiriki kuchimba mtaro eneo la Mnyanjani Jijini Tanga ambao utasaidia kuondoa kero ya kutuama maji kwenye makazi ya wananchi wakati wa mvua wakati alipofanya ziara ya kuutembeleaMtaro utakaopitisha maji kwenye eneo la Mtaa wa Mnyanjani Jijini Tanga ya mvua na kupelekea baharini ili kuwaepusha wananchi na mafuriko nyakati za mvua.MBUNGE wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia aakimuonyesha kitu Mhandisi toka Wakala wa Usimamizi wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoani Tanga Omari Saidi wakati alipotembelea ujenzi wa mradi wa Mtaro
ZAIDI ya kaya 200 katika mtaa wa Mnyanjani kata ya Myanjani Jijini Tanga zitanufaika na mradi wa ujenzi wa mtaro kwa ajili ya kuondoa tatizo la mafuriko linalotokea... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More