ZAIDI YA WAJASILIAMALI 351 WAPATA MAFUNZO YA UJASILIMALI KUTOKA KWA DIWANI NGUVU CHENGULA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ZAIDI YA WAJASILIAMALI 351 WAPATA MAFUNZO YA UJASILIMALI KUTOKA KWA DIWANI NGUVU CHENGULA

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa ameambatana na diwani wa kata ya Mwangata ndugu Nguvu Chengula pamoja na naibu meya wa manispaa ya Iringa Joseph Ryata wakiingia kufunga mafunzo ya ujasiliamali yaliyodhaminiwa na diwani wa kata hiyo Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwapa vyeti wajasiliamali walioshiriki mafunzo yaliyodhamini na diwani wa kata ya Mwangata Nguvu ChengulaBaadhi ya wajasiliamali walioshiriki kwenye mafunzo ya kukuza ulewa wa utengenezaji wa bidhaa mpya,mafunzo yaliyodhamini na diwani wa kata ya Mwangata Nguvu Chengula
 NA FREDY MGUNDA, IRINGA.
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amefunga mafunzo kwa vikundi vya wajasiriamali vya wanawake,wazee na vijana manispaa ya Iringa yaliyolenga kuwajengea uwezo wa namna ya kutumia vizuri fedha za mikopo walizopewa na manispaa hiyo.
Mafunzo hayo ya siku mbili yamefanyika katika ukumbi wa Damu ya Yesu uliopo katika katika kata ya Mwangata na kuhudhuriwa na wanawake,wazee na vijana zaidi ya 351 wajasiriama... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More