ZAIDI YA WATOTO 1,300 KUSHIRIKI KAMPENI YA KUPINGA VITENDO VYA UKATILI KWA WATOTO WA MIKOANI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ZAIDI YA WATOTO 1,300 KUSHIRIKI KAMPENI YA KUPINGA VITENDO VYA UKATILI KWA WATOTO WA MIKOANI

 Baadhi ya vijana ambao wanashiriki kampeni hiyo ya kupinga vitendo vya ukatili dhidi ya watoto mkoani Iringa zoezi ambalo linaenda sambamba na utoaji elimu ujasiriamali kupitia michezo.
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.ZAIDI ya watoto 1,300 wamejuishwa katika kampeni ya kupinga vitendo vya ukatili dhidi ya watoto mkoani 

Iringa zoezi ambalo linaenda sambamba na utoaji elimu ujasiriamali kupitia michezo.
Mratibu wa mradi wa kuwawezesha wasichana kiuchumi uliochini ya shirika la BRAC Anna David amewaambia waandishi wa Habari katika viwanja vya chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa (MUCE)  
kuwa lengo la kufanya michezo hiyo kuwaleta pamoja watoto kutoka pande mbalimbali na kuwapa elimu juu ya kupinga ukatili kwa wasichana siku chache kabla ya kufikia maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike yatakayofanyika baadae Octoba 11 mwaka huu katika viwanja vya mwembetogwa mjini Iringa.
Bi David alisema katika maadhimisho hayo Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Salum Hapi anatarajia kuwa mgeni rasmi, maamisho amba... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More