Zainabu Katimba: Vijana tuchangamkie fursa za kiuchumi - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zainabu Katimba: Vijana tuchangamkie fursa za kiuchumi









Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha vijana bungeni, Zainabu Katimba, kulia, akizungumza na baadhi ya vijana wanaowakilisha makundi mbalimbali jijini Dar es Salaam, katika kongamano aliloandaa lenye dhamira ya kuangalia fursa za kiuchumi zinazoweza kufanyia na vijana kwa ajili ya kukuza uchumi wao. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Friedrich Ebert Stiftung (FES), Andreas Quasten, ambayo wameshirikiana na Mbunge kuwezesha Kongamano hilo. Picha na Mpigapicha Wetu.

Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha vijana bungeni, Zainabu Katimba, akizumgumza na waandishi wa habari hawapo pichani katika kongamano aliloandaa lenye dhamira ya kumuwezesha kijana katika hali ya kufanyia kazi changamoto zinazowakabili vijana nchini Tanzania. Kongamano hilo pia limeandaliwa kwa ushirikiano mkubwa wa taasisi ya Friedrich Ebert Stiftung (FES). Picha na Mpigapicha Wetu. 


Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam 

VIJANA mbalimbali nchini Tanzania, wameaswa kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi,... Continue reading ->







Source: Issa MichuziRead More