Zari Amtolea Povu Diamond Kuhusu Malezi kwa Watoto Wake. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zari Amtolea Povu Diamond Kuhusu Malezi kwa Watoto Wake.

Mwanadada Zari The Bossy ameshindwa kuvumilia yale ya moyoni na kuamua kusema kile anachokiona kwa msanii Diamond Platinumz kuhusu malezi kwa watoto wake.


Zari ambae ameachana na Diamond kwa muda mrefu sasa na kuamua kukaa na watoto wake aliowapta an amsanii huyo anasema kuwa anamshangaa sana Diamond kwa kitendo cha kukubali kutumia muda wake mwingi kwa ajili ya kufanya starehe na sio kuwajali na kuwa karibu na watoto wake mpaka anasaidiwa na wanaume wenzake.


Akitupa bango hilo katika ukurasa wake wa snapchat, zari aliandika “too bad your kids will have all this  beautiful memeries with somebody else..the simple things money cant buy.”


Pamoja na kwamba diamond amekuwa akionekana yuko afrika ya kusini akiwa na watoto hoa, kwa mujibu wa zari anaona kuwa watoto hao hawapati muda mzuri na wa kutosha kukaa na baba yao hivyo wamekua wakipewa mapenzi ya baba  na watu wengine.


Lakini pia Zari anasema kuwa pamoja na kwamba Diamond amekua na pesa lakini kuna vitu haw=viwezi kununuliwa kwa ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More