Zari Aweka Pembeni Tofauti Zake na Hamisa na Kumtumia Dylan Salamu za Birthday - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zari Aweka Pembeni Tofauti Zake na Hamisa na Kumtumia Dylan Salamu za Birthday

Mzazi mwenza wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Zari The Bosslady ameweka tofauti zake pembeni na Mzazi mwenza mwingine wa Diamond Hamisa, na kumtakia heri mtoto wake Dyalan.


Zari na Hamisa walikuwa kwenye vita kali tangia Zari alipoginfua Diamond kamsaliti na kuzaa na Hamisa wakati wakiwa Kwenye Mahusiano kimapenzi.


Lakini sasa Zari anaonekana kuweka pembeni tofauti hizo hasa linapokuja suala la watoto kwani amemtumia salamu za Birthday Dylan na kukiri yeye ni mtoto na hana makosa.Kwenye mahojiano hayo na kituo kimoja cha habari nchini Uganda ambapo Zari anategemewa kuwa JAJi katika mashindano ya Miss Uganda, amefunguka na kusema hana kinyongo na Dylan kwani ni mtoto ambaye hana makosa na sio kosa lake yuko pale:


Siku ya Jumatano ilikuwa Birthday ya Dylan mtoto wa Diamond na Hamisa na Zari alimtumia salamu Hizi:Happy birthday Dylan, Hope you have the best in life and Mummy Z loves and no matter what the public says it was never your fault you were just caught up in it and yo... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More