Zari umenizalia watoto wazuri, ndio maana sikuongelei hovyo kwenye interview – Diamond Platnumz - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zari umenizalia watoto wazuri, ndio maana sikuongelei hovyo kwenye interview – Diamond Platnumz

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz usiku wa kuamkia leo Septemba 23, 2018 amemuandikia mzazi mwenzie Zari ujumbe mzito katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.


Image result for diamond na zariZari na Diamond Platnumz

Diamond amesema ataendelea kumheshimu Zari kwani amemzalia watoto wawili kwake yeye anaona kuwa ni jambo kubwa sana na zawadi iliyo njema.


Hii ni siku muhimu sana kwako mama watoto wangu, Nashukuru kwa kunizawadia watoto wawili wazuri sana na kikubwa zaidi umekuwa mama mwema unawalea watoto vizuri.“amendika Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram na kueleza hisia zake zaidi.


Niamini mimi, nitaendelea kukuheshimu daima  ndio maana hauji kusikia nikikuzungumzia hovyo kwenye interview zangu ninazofanya, sio hivyo tu hata kuzungumzia chanzo cha mfarakano wa mapenzi yetu kamwe siwezi, watoto wetu tuliojaaliwa ni zawadi tosha kwangu,. Nitaendelea kukupenda, kukuheshimu na kukuchukulia kama dada yangu wa damu.“amemaliza Diamond Platnumz.


Wiki mbili zilizopita Diamond Platnumz alitamk... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More